Joseph Mbilinyi: Rais Samia hawezi kubadili mfumo akiwa na watu walewale

yaani wewe ndio hujui kitu kabisaaaa ! CDF ndio alimnusuru huyu mama dhidi ya Sukuma gang , hao wengine wala hawakujishughulisha kabisaaa na kuna tetesi kwamba walikuwa miongoni mwa ile gang
 
Samia naye ni mmoja wa hao ‘walewale’! Tena yeye ndo alikuwa juu kabisa kushinda hata hao wengine.

Hawa CHADEMA hawana akili kabisa.
 
Samia naye ni mmoja wa hao ‘walewale’! Tena yeye ndo alikuwa juu kabisa kushinda hata hao wengine.

Hawa CHADEMA hawana akili kabisa.
chama kisicho na akili kinawezaje kutengeneza ajenda za nchi ?
 
yaani wewe ndio hujui kitu kabisaaaa ! CDF ndio alimnusuru huyu mama dhidi ya Sukuma gang , hao wengine wala hawakujishughulisha kabisaaa na kuna tetesi kwamba walikuwa miongoni mwa ile gang

Haya! Yaani leo hii cdm na kina sugu ndio wa kuipenda ccm na mkt wao, kwamba huu ni ushauri wa kuiimarisha CCM na serikali yake?! Labda niko ndotoni. Hii naona ni kama kumdharau mh Rais wa JMT.
 
Tatizo ni kurithi watu wa jpm, jmk halafu akaongeza na giligiliani yake
 
Magufuli alikua ni zaidi ya janga.huyu wa sasa anajidhalilisha.eti Mbowe wenzake wamefungwa yeye hakuwepo.ni kina nani hao???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…