Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
yaani wewe ndio hujui kitu kabisaaaa ! CDF ndio alimnusuru huyu mama dhidi ya Sukuma gang , hao wengine wala hawakujishughulisha kabisaaa na kuna tetesi kwamba walikuwa miongoni mwa ile gangMama Rais, "Mothers Love" kwa upendo na kushauri ukisikiliza akili hizi za wavuta sonyo umekwisha na nchi hii itakushinda. Angalia wasaidizi wote hawa waliotajwa walivyotenda kipindi cha msiba wa JPM
Ili kumjua huyu ni mnafiki na anataka akuingize shimo kwa nini amtaje IGP na wengine asimtaje CDF. Acha hawa waondoke kwa taratibu za kustaafu kwa heshima. Nchi hii haijawahi kufikwa na msiba wa Rais aliye Madarakani. Heshimu hawa wasaidizi wako kwa hilo tu la kutuvusha hata kama huna kingine.