Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Rais asitue mkurugenzi wala watendaji wengine wa tume ya uchaguzi
Mawakala wasiapishwe na wakurugenzi na badala yake waapishwe na vyama vyao
Mawakala waruhusiwe kuingia na simu vituoni ili wawe na uwezo wa kuwasiliana na wagombea wanaowawakilisha
Sugu ameshauri tume huru ya Taifa ya uchaguzi isitishe mchakato wa uchaguzi hadi pale reforms zinazotakiwa zipatikane.Mawakala wapewe fomu za matokeo halali kwenye vituo vyao
OK sawa tunasubiriWakuu tusubiri madini kutokea Kanda ya Nyasa hapo saa 7
View attachment 3446839
Kwanini mkuu unasema hivi?Msaliti anayemtangulia Mbowe; then atakuja Mbowe
Nafikiri katabiri haya kwa kuwa alikuwa team mbowe na kuna uwezekano akaenda CHAUMMAKwanini mkuu unasema hivi?
Ngoja tusubiri muda ni mwalimu mzuriSugu Motochini siyo wa kuhamia Chaumma hata kama hapo awali alimuunga mkono Kamanda mkuu. Sugu ni kama Boni Yai na Halima Mdee. Hawa ni CHADEMA kutoka kwenye damu.
Leta video mkuu.Wewe noma sana uko mbele ya wakati.Tupia chap mzee.amesema chadema imepoteza dira, anahamia Chaumma
Mkinga Mwenzako huyo ππβοΈamesema chadema imepoteza dira, anahamia Chaumma
Mavi yakoamesema chadema imepoteza dira, anahamia Chaumma
Wakinga wajanja, hawawezi kuongozwa na mnyaturu tundu lisuMkinga Mwenzako huyo ππβοΈ