GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) afunguka mabadiliko wanayoyahitaji, awapongeza pia Askofu Gwajima na Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huu unatajwa kama Mkutano wa Kwanza kwa Mwanasiasa wa Tanzania kufanyika katikati ya Bahari.

Taarifa kamili hii hapa



Taarifa zingine zinaeleza kwamba Bwana Sugu si Mwenyekiti wa Kanda wa Chadema tu, Bali ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa wa wananchi wote.

Usiondoke JF
 
Binafsi sijawahi kuwa na imani na Sugu!

Sugu ni opportunist....
 
Hamna mtu wa kushare updates hapa ya alichozungumza?
 
Mbona press imesepa,ni mkata switch ame wazee wa doria ya mitandao?Mods na jua mnaweza saidia kwenye majibu.
 
JPM hakuivunja Desderia Hotel iliyojengwa kwenye hifadhi ya mto, sababu? alitonywa na vipepeo kwamba anapiga bomu nyumbani kwa mwenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…