Pre GE2025 Joseph Mbilinyi Sugu akabidhi Madera 100 kwa BAWACHA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi-Sugu Moto Chini amekabidhi Madera 100 kwa Jumuiya ya Wanawake BAWACHA pamoja na Vitabu 50.

Sugu ametoa taarifa ya makabidhiano Ukurasani X

Baadae mlale Unono πŸ˜„πŸ˜„

Erythrocyte wahi zawadi πŸ˜‚
---


Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa jana alikabidhi madera ya chama 100 pamoja na vitabu 50 vya sera ya wanawake ya Chadema, kwa Mwenyekiti mpya wa Bawacha wa kanda hiyo Mama Tabia Mwakikuti.

Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa pia jana alikabidhi vitabu 50 vya Sera ya vijana ya Chadema, kwa Mwenyekiti wa Bavicha wa Kanda hiyo, Vitus Nkuna
 
Hawa ndio waandishi bora wa jf, yaani anajiuliza na kujijibu mwenyewe
 
Safi Sana wape Madera wavae wapendeze a tengeneza na ya kiume pia. ( amempora Msigwa kura wazi wazi)
 
NAOMBA KUULIZA ILA NINA MWANASHERIA WANGU.
NA HUYU KAPATA ILO DERA
 
Sasa hayo Madera ni mradi wa bawacha au wagawane wavae? Na kama ya kuvaa watagaiwa wangapi na kwa kigezo gani?
Ila umasikini huu,wewe acha tu.
 
Itakuwaje hata kapicha hakuna? Kwa sababu hili litakuwa ni tukio muhimu kwa mwenyekiti wa kanda mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…