Joseph Mbilinyi (Sugu) anasema kwamba Tanzania sasa imekua salama sio kama zamani

Joseph Mbilinyi (Sugu) anasema kwamba Tanzania sasa imekua salama sio kama zamani

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
1673598009684.png

Sugu anasema kwamba Tanzania sasa imekua salama sio kama zamani matukio ya kutisha hayapo tena democrasia imerejea chini ya Rais Samia Suluhu hakika tutafika mbali maana naona upinzania wameanza kupata akili sio kila kitu cha kupinga kizuri kisifie
 
Ulitaka asemaje?

Tuna kwenda na beats ndio kawaida yetu watanzania.

Akiondoka na akija mwingine tunabadilika pia.
 
SUGU yupo sawa angalau Sasa wa Tanzania hatuogopani Kwenye ma daladala kipindi Cha Jiwe kilitisha mno kuriko hata JEHANAM.
 
Yuko sahihi. One of the worst evils in a nation ni watawala kuinuka dhidi ya wananchi. Ni hatari sana.
 
SUGU yupo sawa angalau Sasa wa Tanzania hatuogopani Kwenye ma daladala kipindi Cha Jiwe kilitisha mno kuriko hata JEHANAM.
Wewe kuna watu uliwaogopa kwenye dala dala Mkuu ? Na kwanini ?😂,nimecheka sana ,hakika watoto wakija kusoma hizi comments miaka 20 ijayo watadhani watanzania tuliishi kama nyakati za Nazi German
 
View attachment 2479124

Sugu anasema kwamba Tanzania sasa imekua salama sio kama zamani matukio ya kutisha hayapo tena democrasia imerejea chini ya Rais Samia Suluhu hakika tutafika mbali maana naona upinzania wameanza kupata akili sio kila kitu cha kupinga kizuri kisifie
Unafikiria anaongea Bure kala kashiba tyr ndo maana wanaoumizwa na njaa hawaelewi huu ujinga anaongea uyo pimbi
 
Wanasiasa wakibanwa hupiga kelele kuliko wananchi wenye njaa. Sugu ni moja ya walamba asali, unfortunately anajua kwa Tulia hatoboi hivyo anazichanga karata kwa akili [emoji4]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom