Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

maada ni kuchangia ujenzi wa kanisa , Nyie endeleeni na ushirikina wa kutembea na Majeneza
😄😄😄Nimekwambia weka hicho kiasi cha hicho unachoita kitita. Nani asiye mfahamu sugu kwa ubahili wa kikinga? Wewe weka hicho kiasi ili watu wajionee na mimi nionekane naongea uongo kumsingizia sugu kuwa ni bahili. Alishindwa kuchangia pesa kwa ajili ya walau kupata kiwanja cha kujenga ofisi za chama ndio aje leo atoe kitita kanisani? Labda siyo huyu sugu ambaye watu wanamfahamu kwa ubahili
 
Kwa kweli bado anandoto za kugombea tena Ubunge,yaani inamaana hakuna watu wengine kwamba kila mara ni wao tu...Wajikite kwenye shghuli nyingine na wangene waingie huko Bungeni na mawazo Mapya.
Ukitaka kumshinda chukua fomu na wewe ugombee , nafasi hizi ni kwa kila mmoja
 
Achangie Sugu mimi nikuwekee kiasi , wewe kama nani ?

Mkuu usishindane na sisi wenye hela utaumia , Muulize Makonda
 
Achangie Sugu mimi nikuwekee kiasi , wewe kama nani ?

Mkuu usishindane na sisi wenye hela utaumia , Muulize Makonda
Sasa umeleta habari za sugu kama nani????? Najuwa kwanini hutaki kuweka hicho kiasi maana unajuwa ni pesa mbuzi tu.ndio maana kwa tunao mfahamu sugu tumecheka tu maana tunajuwa sugu hana ubavu wa kutoa kitita kwa kuwa ni bonge moja la bahiliii.
 
Afu mtu aje aniambie Eti Takwimu zile za Tanzania kuongoza kwa watu wenye Matatizo ya Afya Ya akili zilikuwa ni za Uongo....

Wallahi Namuua 🤣🤣
 
Yeye atoe rushwaa..lakini akishindwa kwenye ubunge, hatutaki kusikia mtu kaanguka na presha.
 
Jamaa amevaa shati kama langu.. 😄
 
Kwa kweli bado anandoto za kugombea tena Ubunge,yaani inamaana hakuna watu wengine kwamba kila mara ni wao tu...Wajikite kwenye shghuli nyingine na wangene waingie huko Bungeni na mawazo Mapya.

Licha ya kwamba hana kazi ya kufanya ya kumuingizia kipato, ifike mahala watu wagraduate baada ya kutumikia kwa miaka 10 mfululizo.
 
Duuuuh....! Unasaka uteuzi kwa nguvu. Hivi Ni MADARAKA tu au njaa inachangia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…