Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

Sugu anayejulikana na wana Mbeya kwa ubahili wake mkubwa wa kikinga hawezi kuchangia kitita zaidi ya kutoa vipesa mbuzi. Kama nasema uongo embu weka kiasi alichotoa. Pia napenda kukwaambia kuwa jimbo la Mbeya ni la Dr Tulia ambaye amepewa hati miliki na wana Mbeya. Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kumpa kura ya ndio Sugu
Lucas Samia katika ubora wake.
 
Sugu huyu huyu ambae hata pledge yake kwa Prof J foundation hatujaisikia😁😁😁 jamaa anapenda kujisifia sana kila afanyalo hata liwe dogo anakuja humu JF kujifagilia

Acha watu waanzishe Uzi kwa ajili yako na sio wewe mwenyewe kuja kujisifia humu
 
Huwa unakurupuka sana! Aliyekwambia kuwa sugu ni mkinga ni nani!?
 
Sugu huyu huyu ambae hata pledge yake kwa Prof J foundation hatujaisikia😁😁😁 jamaa anapenda kujisifia sana kila afanyalo hata liwe dogo anakuja humu JF kujifagilia

Acha watu waanzishe Uzi kwa ajili yako na sio wewe mwenyewe kuja kujisifia humu
sasa kinachokuliza nini ?
 
Ukitaka kumshinda chujua fomu na wewe ugombee , nafasi hizi ni kwa kila mmoja
Mwambie atulie kashindwa kuwaletea Maendeleo wana Mbeya Mjini,Kaja na yule Bibi pale kwenye Chama nae kashindwa kuleta Maendeleo...Ukienda Mbeya wakati wa hasubuhi ni Foleni ya kufa Mtu kuanzia pale mwanjelwa Folen ya kufa mtu....Jioni nako ndo husiseme.
 
Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya .

Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa Parokia hiyo , amewahamasisha Matajiri wenzake wa Mbeya na Kwingineko kujitokeza kuchangia ujenzi wa Nyumba za Mungu kwa lengo la kuchota baraka, ambako amedai wingi wa nyumba za ibada utapunguza dhambi za walimwengu kwa kuchochea mema kwenye jamii .

View attachment 2838948View attachment 2838949
Madhabauni =× Madhabahuni =v
 
Nyumba ya baba yangu(madhabahu, kanisa, sinagogi).... Mmeigeuza kuwa pango la walanguzi! (Wanasiasa)

Kwenye msaada halisi na wa dhati... Kuna ulazima Gani wa ma -camera!?
 
Sugu huyu huyu ambae hata pledge yake kwa Prof J foundation hatujaisikia😁😁😁 jamaa anapenda kujisifia sana kila afanyalo hata liwe dogo anakuja humu JF kujifagilia

Acha watu waanzishe Uzi kwa ajili yako na sio wewe mwenyewe kuja kujisifia humu
Halafu nahisi huu uzi kauleta mwenyewe ukisoma caption zake unagundua mara moja 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom