Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

Mkuu wangu, mbona unampa sifa kedekede sugu? Ni yule sugu niliyemfahamu kama 2proud enzi zile za kuibuka bongofleva?
 
Mbeya inahitaji viongozi wenye maono na akili kubwa, kwa ambaye hajawahi fika Mbeya anaweza dhani ni paradiso.

Jiji halina miundombinu ya kueleweka,foleni ndefu,umeme kukatika hovyo hovyo e t.c
Ndg zangu punguzeni ujuaji,unafiki na uchawi ili mji wenu usonge mbele.
 
Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya .

Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa Parokia hiyo , amewahamasisha Matajiri wenzake wa Mbeya na Kwingineko kujitokeza kuchangia ujenzi wa Nyumba za Mungu kwa lengo la kuchota baraka, ambako amedai wingi wa nyumba za ibada utapunguza dhambi za walimwengu kwa kuchochea mema kwenye jamii .

View attachment 2838948View attachment 2838949
Hicho kitita kizito ni Tsh ngapi, isijekuwa laki 5 ndio ukaita kitita kizito ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya .

Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa Parokia hiyo , amewahamasisha Matajiri wenzake wa Mbeya na Kwingineko kujitokeza kuchangia ujenzi wa Nyumba za Mungu kwa lengo la kuchota baraka, ambako amedai wingi wa nyumba za ibada utapunguza dhambi za walimwengu kwa kuchochea mema kwenye jamii .

View attachment 2838948View attachment 2838949
Dada zangu Staha ndio kila kitu,sasa hapa angepandaje na kile kituko chake kinacho jichetua mitandaoni. Yaani unamuona hata Sugu yupo comfortable na mke wake.
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Dada zangu Staha ndio kila kitu,sasa hapa angepandaje na kile kituko chake kinacho jichetua mitandaoni. Yaani unamuona hata Sugu yupo comfortable na mke wake.
Hana lolote huyo Happy mnafiki tu ananyanyasa wafanyakazi sana anajikuta nani sijui
 
Sawa ila kama anafanya anavifanya nyuma ya Camera, hivi Assume angekuwa na kile kituko kilicho vaa Pampas mbele ya kadamnasi kama hiyo tena kanisani,Sugu wange muonaje.
 
Back
Top Bottom