Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Lucas Samia katika ubora wake.Sugu anayejulikana na wana Mbeya kwa ubahili wake mkubwa wa kikinga hawezi kuchangia kitita zaidi ya kutoa vipesa mbuzi. Kama nasema uongo embu weka kiasi alichotoa. Pia napenda kukwaambia kuwa jimbo la Mbeya ni la Dr Tulia ambaye amepewa hati miliki na wana Mbeya. Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kumpa kura ya ndio Sugu
Kwani ana wadhifa gani?ifike mahala hawa watu wawe WANASTAAFU.
Inawasaidia nini wananchi waliopo huko bombani muheza mkoani tanga!
Huwa unakurupuka sana! Aliyekwambia kuwa sugu ni mkinga ni nani!?Sugu anayejulikana na wana Mbeya kwa ubahili wake mkubwa wa kikinga hawezi kuchangia kitita zaidi ya kutoa vipesa mbuzi. Kama nasema uongo embu weka kiasi alichotoa. Pia napenda kukwaambia kuwa jimbo la Mbeya ni la Dr Tulia ambaye amepewa hati miliki na wana Mbeya. Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kumpa kura ya ndio Sugu
sasa kinachokuliza nini ?Sugu huyu huyu ambae hata pledge yake kwa Prof J foundation hatujaisikiaπππ jamaa anapenda kujisifia sana kila afanyalo hata liwe dogo anakuja humu JF kujifagilia
Acha watu waanzishe Uzi kwa ajili yako na sio wewe mwenyewe kuja kujisifia humu
Jamaa anamtifua demu kinyeo kwenye basiii safarini
Pledge bwana le super bilionea wa kimataifa πsasa kinachokuliza nini ?
Ni ujinga tu husio kuwa na Akili...yaani kaa huko miaka 5 alichofanikiwa kwa wana Mbeya ni Kujenga Hoteli yake ya nyota 5.Licha ya kwamba hana kazi ya kufanya ya kumuingizia kipato, ifike mahala watu wagraduate baada ya kutumikia kwa miaka 10 mfululizo.
Mwambie atulie kashindwa kuwaletea Maendeleo wana Mbeya Mjini,Kaja na yule Bibi pale kwenye Chama nae kashindwa kuleta Maendeleo...Ukienda Mbeya wakati wa hasubuhi ni Foleni ya kufa Mtu kuanzia pale mwanjelwa Folen ya kufa mtu....Jioni nako ndo husiseme.Ukitaka kumshinda chujua fomu na wewe ugombee , nafasi hizi ni kwa kila mmoja
Madhabauni =Γ Madhabahuni =vMbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya .
Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa Parokia hiyo , amewahamasisha Matajiri wenzake wa Mbeya na Kwingineko kujitokeza kuchangia ujenzi wa Nyumba za Mungu kwa lengo la kuchota baraka, ambako amedai wingi wa nyumba za ibada utapunguza dhambi za walimwengu kwa kuchochea mema kwenye jamii .
View attachment 2838948View attachment 2838949
Ni ujinga tu husio kuwa na Akili...yaani kaa huko miaka 5 alichofanikiwa kwa wana Mbeya ni Kujenga Hoteli yake ya nyota 5.
Erythrocyte na chadema wote ni matapeli, Manyara ety walitoa mamilioni lkn haijulikani mpaka sasa hv n sh ngapi na leo tena ety sugu katoa pesa ndefu lkn haijulikani ni sh ngapi πHela ndefu πππ
Nimependa pamba zake very simple π
Umeandika uongoUsikute ndio Erythrocyte mwenyewe huyo.
Hakumpeleka shule?Mtoto wake fundi gereji anateseka ameshindwa kumsaidia. Sugu ni wa ovyo sana
Aah mimi tangu kitambo. Sema WATABE huwa tunafanana SWAGGA, you know what I'm saying ma nigga.. πWacha weeee !! nani kamuiga mwenzie ?
Halafu nahisi huu uzi kauleta mwenyewe ukisoma caption zake unagundua mara moja πππππSugu huyu huyu ambae hata pledge yake kwa Prof J foundation hatujaisikiaπππ jamaa anapenda kujisifia sana kila afanyalo hata liwe dogo anakuja humu JF kujifagilia
Acha watu waanzishe Uzi kwa ajili yako na sio wewe mwenyewe kuja kujisifia humu
Kwahiyo leo SUGU hafai MBEYA MJINI? Kuna WATU ni vigeugeu sijapata kuona ππΎAnatumia nguvu nyingi kupambana na Tulia, hataweza afanye mengine tu