Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

Sa
Achangie Sugu mimi nikuwekee kiasi , wewe kama nani ?

Mkuu usishindane na sisi wenye hela utaumia , Muulize Makonda
Sawa umetupa ujumbe ila kwenye kichwa cha madam yako kinatia kichefuchefu mkuu,neno mazabauni siyo sahihi tafadhali rekebisha usahihi wake ni 'MADHABAHUNI'
 
Kisa tu unatandika vitanda Desderia hotel
 
Umesahau kuweka number ya simu......au sababu Sugu hana iteuzii? Mfy......uuuuuuu
 
Ulivyo muelezea unaonyesha upungufu wa jambo fulani ndani yako, yamkini una ujinga au wewe mwenyewe ndo Sugu
 
Sa

Sawa umetupa ujumbe ila kwenye kichwa cha madam yako kinatia kichefuchefu mkuu,neno mazabauni siyo sahihi tafadhali rekebisha usahihi wake ni 'MADHABAHUNI'
Sijui sana kiswahili mkuu , nisamehe , Maisha mengi nimekuwa Ulaya na Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…