Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hapo kwenye shape mpaka Prof. kanyanyua kichwa kuongeza umakini😁Mnawapa wanaoonekana kwenye TV mnaangalia shape hahaha
Mfumo wa mkopo hauknyeshi kama kuna accountability ya aina yoyote kwa mjopaji na mkopeshaji serikali kwa hapo kama inatupa tu helaMbunge wa Geita, Joseph Musukuma
"...Mheshimiwa mfuko wa wasanii pesa alizotoa Mama Samia leo tukiuliza kuna shilingi ngapi au mliowakopesha wamerudisha shilingi ngapi wapo hapa kuchukua hela leo wengine na kuoa kununua magari, starehe zingine zimewaua na kuwaua..."
View attachment 3326852
Gabo huyo,ndo alinunulia gari na kuongeza mke
Gabo huyo,ndo alinunulia gari na kuongeza