gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 410
Kuna siku nilikua nasafiri na basi moja toka mkoa moja, njiani si konda kaweka CD, mwimbaji Nyuki wacha aanze kata viuno! Nilikua nimekaa na mama moja wa heshima nilijiskiaje aibu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku nalikua nasafiri na basi moja toka mkoa moja njiani si konda kaweka cd mwimbaji nyuki wacha aanze kata viuno nilikua nimekaa na mama moja wa heshima nilijiskiaje aibu
Nyuki ndio nani??
Joseph Nyuki ni msanii wa muziki wa injili ambaye kaja kwa kasi sana.
Huyu jamaa ni mlemavu hana mkono mmoja wa kushoto ambao ulikatwa sababu hatufahamu.
Huyu jamaa miaka ya 2005 alikuwa ni dancer machachari sana katika promotion za Kibo breweries kipindi hicho kupitia beer ya Kibo gold au vumbua dhahabu.
Aliwika sana kwa style yake ya kucheza na kuweka chupa kichwani na kuteleza kwa magoti.
Sasa hivi ndo hivyo tena kawa mtumishi.