Joseph Nyuki unatia aibu

Joseph Nyuki unatia aibu

gen parton

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
642
Reaction score
410
Kuna siku nilikua nasafiri na basi moja toka mkoa moja, njiani si konda kaweka CD, mwimbaji Nyuki wacha aanze kata viuno! Nilikua nimekaa na mama moja wa heshima nilijiskiaje aibu..
 
stori za kutunga.
picha please tuone alivyokata viuno
 
mwenzio ndio alikuwa anaingiza siku vile. we endelea kuona aibu.
 
Watu wanatafuta fwedha mkuu hakuna anaefanya kazi ya kanisa faida haleluya siku hizi.....kuanzia mfagizi wa kanisa hadi mwimba kwaya wote pesa
 
Kuna siku nalikua nasafiri na basi moja toka mkoa moja njiani si konda kaweka cd mwimbaji nyuki wacha aanze kata viuno nilikua nimekaa na mama moja wa heshima nilijiskiaje aibu

Kwani wewe hujawahi kukata kiuno unapokuwa 6x6? Na huyo mama uliyekaa nae ulishawahi kumuona kwenye anga zake kwenye mchakato 6x6? Heshima ni mavazi tu hata masanamu huko madukani yanavalishwa.
 
Anacheza vizuri tu pia kumbuka nyuki kabla kuwa mlokole alikuwa mcheza disco
 
Nyuki ndio nani??

Joseph Nyuki ni msanii wa muziki wa injili ambaye kaja kwa kasi sana.
Huyu jamaa ni mlemavu hana mkono mmoja wa kushoto ambao ulikatwa sababu hatufahamu.
Huyu jamaa miaka ya 2005 alikuwa ni dancer machachari sana katika promotion za Kibo breweries kipindi hicho kupitia beer ya Kibo gold au vumbua dhahabu.
Aliwika sana kwa style yake ya kucheza na kuweka chupa kichwani na kuteleza kwa magoti.
Sasa hivi ndo hivyo tena kawa mtumishi.
 
duhu kweli ndo Maish ya kibongo haya mweh.?
 
Kibo Breweries ilikufa mwaka 2002 brother!! Hiyo ya 2005 sijui ya wapi...?
 
yuko jamaa mmoja hana mkono. sio solomoni. sasa huyo jamaa anafurukuta hadi kero
 
Back
Top Bottom