Joseph Selasini ampiga Marufuku Mwabukusi kuitisha mikutano ya hadhara. Selasini anaunga mkono Bandari kuuzwa

Joseph Selasini ampiga Marufuku Mwabukusi kuitisha mikutano ya hadhara. Selasini anaunga mkono Bandari kuuzwa

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Screenshot_20231009-152751.jpg
 
Chama hakina mikutano ya hadhara.
Kinapinga kufanya siasa.

Huyo 30 anatumia kifungu gani cha Katiba yao kuzuia mikutano? Au naye ni team Wambura? Je Mwabukusi akifanya mikutano ikatafsiriwa ni ya NCCR atashtakiwa kwa uhaini tena au?
 
Huyu jamaa bana, kipindi hicho ka kijana kalikua very objective. Nakumbuka kipindi cha Kampeni za ubunge wa Jimbo la Temeke amnapo yeye ndiye aliteuliwa na NCCR kuwa Mwenyekiti wa Kampeni.
Akisimama jukwaani ilikua ikikimbiza sana, akishuka yeye anapanda Masumbuko Lamwai, akishuka Lamwai anapanda Mabere Nyaucho Marando.
Kikosi kilikua kimekamilika hasa.
Lakini tangu ule Mkasa wa pale pale Raskazone wakasambaratika kabisa, na siku hizi namuona yupoyupo tu.
Nakumbuka kulikua na Mwanamama akiitwa Chiku Abwao, alitumwa kumchafua Mrema kuwa si muadilifu, akaja na madai kuwa alipokuwa NCCR, Mrema alikua akimshikashika manyonyo yake ndiyo maana yamekuwa Makubwa😃.
 
Weeee nawe ficha ujinga wako..anaye was akataa ni chadema??? Mbona unawaza kutumia makalio?
Ni mpuuzi na mpumbavu tu ndie anaetaka kuaminisha umma kuwa mwanadamu huwa anauwezo kufikiri kwa kutumia makalio.

Huwo ni uwongo. Wewe ni muongo na umeishiwa hoja-badala yake unakuja kunishambulia.

Adv. Mwabukusi ni NCCR -Mageuzi?
 
Back
Top Bottom