Hapa hautaitwa MSALITI, bali utaitwa MSALITI ikiwa tu utatumia njia ambayo haipo ktk makubaliano ya taratibu za uwasilishaji wa mawazo hayo.Nimekuelewa vyema ndugu na Asante kwa kuchukua muda wako kumuelewesha......kwa namna moja au nyingine anaweza kuwa msaliti lakini tafsri ya neno msaliti nadhani Kuna baadhi ya watu wanalitafsiri vibaya......kwa mfano mnaweza kulipinga jambo ambalo limepita kwa mfumo wa wengi wape lakini wewe ukaamua kubakia msimamo wako na bado ukaonekana msaliti....
Na hapa ndipo wanasiasa wengi wanapokosa wakidhani ama wataongeza umaarufu ktk chama au kuitafuta Huruma badala ya kuwa uvumilivu wa kuendelea kushawishi kwa njia walizokubaliana ktk kundi.