JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,487
- 2,599
Umechanganya madesa mkuu, huyu aliyefiwa na mama yake sio huyo wa mahari ya 500mil.tatizo milioni 500 alizotaka kama mahari huku akijua ni Laki mbili
Asikufanganye mtu. Kwa wale wanaotegemea kuzikwa sehemu zao za asili kujenga nyumba presentable Ni muhimu.
Ni Kama kuvaa chupi japo watu hawaioni lkn Ni muhinu sana kuivaa.
Wapo wajomba wajenge lulu bado anajitahangaikia sana na alikuwa akiuguza mama yakeAsikufanganye mtu. Kwa wale wanaotegemea kuzikwa sehemu zao za asili kujenga nyumba presentable Ni muhimu.
Ni Kama kuvaa chupi japo watu hawaioni lkn Ni muhinu sana kuivaa.
Ndio ike ya kujidanganya kika mtoto na sahani yake kumbe unaumiza watotoUnakua unapata akili unakuta Baba na Mama hawana pa kuishi kifupi familia haina makazi na wewe ndio mtoto mkubwa.....ujenge nyumba ya familia, ujenge nyumba yako mwenyewe yakuishi wakati huo huo uwe unaendesha daily life ya familia wazee, wadogo zako na wewe mwenyewe na famili yako SIO KAZI NDOGO hii..
Africa ngumu sana hii, kama wewe umefanikiwa maisha yanakwenda shukuru Mungu...maana kuna wenzako wanapambana zaidi yako wewe lakini bila bila...
Kama unategemea kuzikwa juu ya mifupa ya mtu kwenye makaburi ya Kinondoni, ruksa kutokujenga home.Wapo wajomba wajenge lulu bado anajitahangaikia sana na alikuwa akiuguza mama yake
Unakua unapata akili unakuta Baba na Mama hawana pa kuishi kifupi familia haina makazi na wewe ndio mtoto mkubwa.....ujenge nyumba ya familia, ujenge nyumba yako mwenyewe yakuishi wakati huo huo uwe unaendesha daily life ya familia wazee, wadogo zako na wewe mwenyewe na famili yako SIO KAZI NDOGO hii..
Africa ngumu sana hii, kama wewe umefanikiwa maisha yanakwenda shukuru Mungu...maana kuna wenzako wanapambana zaidi yako wewe lakini bila bila...
Inategemea na uwezo wangu sina najengaje?ukoo mzima wameshindwa jenga nijenge mie maisha yangu yenyewe ya kusua suaKama unategemea kuzikwa juu ya mifupa ya mtu kwenye makaburi ya Kinondoni, ruksa kutokujenga home.
Lakini Kama unataka ukapumzishwe na watu wa ukoo wako, acha kutegemea wajomba. Jenga kajumba matofali ya kuchoma, weka umeme, Rudi mjini kula Bata na michepuko.
Mtu mmoja anavaa vitu vya M?Mkuu kuna kupambana tujikwamue kwenye nafasi ya chini tuliyokuwepo kwenda nafasi nzuri.
Tatizo ni la hawa watu wanaojisifia mitandao vitu vya kijinga na sio vya msingi.
Kama huyo aliyefiwa juzi kuna interview yake niliiyona anaeleza vitu alivyotupia wigi la milioni na zaidi,cheni milioni 2na zaid,nguo za milioni na zaidi,handbag mbili milioni na viatu, sijui saa hereni alikuwa anajisifia amevaa vitu vya zaidi ya milioni 8.
Ukiangalia kwa makini unakuta sio kweli,sasa mtu kama huyo akipata matatizo watu wanakumbuka kauli zao kama hizo na kuanza kuwazodoa
Mkuu kuna kupambana tujikwamue kwenye nafasi ya chini tuliyokuwepo kwenda nafasi nzuri.
Tatizo ni la hawa watu wanaojisifia mitandao vitu vya kijinga na sio vya msingi.
Kama huyo aliyefiwa juzi kuna interview yake niliiyona anaeleza vitu alivyotupia wigi la milioni na zaidi,cheni milioni 2na zaid,nguo za milioni na zaidi,handbag mbili milioni na viatu, sijui saa hereni alikuwa anajisifia amevaa vitu vya zaidi ya milioni 8.
Ukiangalia kwa makini unakuta sio kweli,sasa mtu kama huyo akipata matatizo watu wanakumbuka kauli zao kama hizo na kuanza kuwazodoa
Inategemea na uwezo wangu sina najengaje?ukoo mzima wameshindwa jenga nijenge mie maisha yangu yenyewe ya kusua sua
Mbaya Zaidi walao mlaumu wengine bado wanaishi kwao.Anaandika Mbunge mstaafu wa Jimbo la Rombo
Eti kuna wanaomlaumu kwa kuwa hakujenga kwao.
Kwao ni wapi? kwa baba yake ni kwao? Kwa wajomba ni kwao? Yaani awajengee kaka/ wifi zake? Mimi naona sio sawa.
Lakini kuna anayejua maisha ya kwao? Kula kwao, elimu, matibabu nk?
Kwani haiwezekani huyu binti LULU DIVA nisiyemjua lakini namsoma tu kwenye vyombo vya habari ndiye pekee Mungu aliyempa kakipato kanakotegemewa na familia yote?
Kipato cha familia nyingi maeneo hayo zinajulikana. Minazi michache inayowawezesha kuuza madafu machache, miti kadhaa ya machungwa tunda la msimu, miti michache ya mifenesi nk
Nampongeza mtoto huyu wa kike ambae ktk familia alijitokeza kwa kipaji chake na kulea wenzake.
Kumuuguza mzazi aliyelala kitandani miaka nane(sio mchezo pamoja na huduma myingine nyingi za familia.
Nani asiyejua kipato cha wasanii? Nadhani wanaomdharau hasa wanaume tujitafakari sana. Huyu alitetea kwanza uhai wa mamake kwa kila njia halali na labda haramu.
Baadala ya kumdharau, kumkashifu, na kumbeza yafaa kumpa pole kwa msiba na kumpongeza.
Kitu alichohitaji mama yake kwa miaka nane haikuwa nyumba bali dawa.
Pole binti na
hongera
sana kwa kutimiza wajibu wako.
Nawajua wanaume waliokamatwa na wake zao na kuwasusa wazazi na ndugu zao kiasi cha kushindwa hata kupata mlo wa siku na wakafariki bila hata panadol.
Tujitafakari sana kabla ya kuelekeza mashambulizi yasiyo na maana kwa mtu yeyote.