Joseph Sinde Warioba, mwana CCM pekee ambaye amegoma kumpongeza Wasira kwa nafasi ya umakamu CCM?

Joseph Sinde Warioba, mwana CCM pekee ambaye amegoma kumpongeza Wasira kwa nafasi ya umakamu CCM?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani.

Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!?

N. B:

Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa Makamu wa Mwenyekiti CCM Taifa, Waziri Mkuu, nadhani(hata Mwenyekiti wa CCM taifa, Julius Kambarage Nyerere, though not sure). Vigogo Hao wamefanya nini kwa maendeleo ya Bunda?
 
Back
Top Bottom