Josephat Gwajima akana utajiri wake

Gwajima ;JK wakemee polisi wanaoniandama
Asema asipofanya hivyo ndiye aliyewatuma hao
Aeleza chanzo cha utajiri wake
Waumini wamchangia mamilioni papo hapo.sasa kama ana ushahidi na nyaraka za mali zake hofu yake nini .
 

Hahaha kanisa lina wachungaji 8,400 hao ni regustered pastors. Hamkuelewa Hesabu ya JG, kwa jumapili moja kuna capacity ya watu at least 30000 na ibada zenye watu wengi hufika 70,000 like mwaka mpya lakini ujue kuna ibada nne kwa wiki so piga hesabu ya mahudhurio weekly kwa ibada zote nne.

Na ibada zote watoe sadaka ya average 1000, hapi tuna realise wanaotoa 10,000 na wengine zaidi. U can imagine kiasi gani kanisa linapata. Pili, helcopta ni mali ya kanisa ambayo ni organisation sio mtu binafsi, na organization imesajiriwa mwaka 1997. U can imagine kuwa R44 ya $700 itashindwa kununua. Hii ni kuwaza kwa kutumia kitu kingine na si akili.
 
Hivi ni lazima kutetemeka wakati unaandika mada yako??? Nia yako ni Ubishi au ni kusisitiza nini?? Maana inakuwa kama unataka kununua ugomvi wa Gwajima na Polisi?? Na unavyojibu ni kama wewe ndio polisi au serikali??

Kwanini wewe ni nani hata unipangie cha kuandika....??
 
Mkuu samahani lakin...mm namjua in and out...fuatilia story yake wakati yupo kijana mkuu

sawa hata unamjua huwezi kumwita mtumishi wa Mungu ni mvuta bangi.
 

yako mangapi nchi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…