Pre GE2025 Josephat Gwajima karibu CHADEMA tuijenge nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ausujudiaye utukufu wa mazimwi lazima naye pia ni zimwi.Kukerwa ni usaliti na hivyo ushauri wa mleta mada umeshiba
 
Ninavyojua Mimi Gwajima yupo ccm sio Kwa sababu anaipenda hapana ni Kwa sababu alifilisiwa na yule bwana ila yule Gwaji boy ni mpenda haki coz Kwa sababu Tundu lissu yupo na mfumo umeshakubali mtakuja kuniambia
 
Kabisa mkuu, huyu kk ni mpenda haki, na msema ukweli, ajiunge na chadema
 
Kwanini Siku hizi Suruali zake zote 'zinampwaya' tu hata akizivalia kwa juu kama ''Wakongomani'' akina Bandeko Nangai?
 
Hela za bwerere CCM vs SADAKA na kujitolea kwa wanachadema.

Hapo mshindi yupo waziwazi, mtumishi lazima aangukie shimoni.
 
Kwanini Siku hizi Suruali zake zote 'zinampwaya' tu hata akizivalia kwa juu kama Wakongomani akina Bandeko Nangai?
Sijui mkuu? Labda hana amani? Nafsi inamsuta
 
Hela za bwerere CCM vs SADAKA na kujitolea kwa wanachadema.

Hapo mshindi yupo waziwazi, mtumishi lazima aangukie shimoni.
Huyu ni mpenda haki kweli mkuu
 
Haliwezi pokelewa Chadema hili linafiki liizi la kura
 
Huyu ni mpenda haki kweli mkuu
Mtanganyika na mpenda HAKI yoyote yule hawezi kuishi CCM, na kama akiishi basi ataishi kwa maumivu makali sana rohoni kwake ambayo hayavumiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…