Pre GE2025 Josephat Gwajima karibu CHADEMA tuijenge nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtanganyika na mpenda HAKI yoyote yule hawezi kuishi CCM, na kama akiishi basi ataishi kwa maumivu makali sana rohoni kwake ambayo hayavumiliki.
Naunga mkono hoja mkuu
 
Mtenda Dhambi yeyote huwa anabanwa mbavu, kwa standard za kawaida yeye ni mwizi wa kura wa kawaida Kabisa
Yeye sio mwizi mkuu, ila ni ccm mfumo wao
 
CCM Mwamposa watampitisha Gwaji Boy hana tena nafasi kule
 
Gwajima ni akili kubwa...msikilize anavyo ongea gwajima ni mjumbe wa Mungu kwa wanadamu.
 
Duuuh huyu tapeli aliyedanganya watu wa kawe angewapeleka marekan amenunua ndege yake amenunua tren yake kutoka Japan

Alimuibia mdee kura na picha na video zilienea mitandaoni
Abaki huko huko chadema hatumtaki
Mzee mnatakiwa sana
 
Kuna nabii Fulani anasema huyo ndio Presideñt ajaye ila lazima apitie CDM,anasema isipotokea basi Mungu hakumwita katika utumishi
Ni nani huyooo Naniii

Ili tuupime unabii wake
 
Kwamba ukweli ni Wana wa kawe kwenda Birmingham? Na hawajaenda mpaka Leo?
 
Ujio wake Chadema hautakuwa na impact kubwa kama watu wanavyoaminishwa

Ni mchumia tumbo kama wengine tu
 
Hiyo ndo inamsuta mkuu, ndo maana namshuli achane na siasa kuongea uongo mtumishi wa Mungu ni dhambi kubwa sana
Mbona unamwambia aende chadema
Kwan chadema ndiyo inataka watu waongo?
 
Kabisa mkuu, kasb huyu anahuka ya kusema ukweli, alafu huko ccm ni uongo tu, heshima yake imeshuka sana
Kilicho mvuta aende huko wanakosema uongo ni nn?
Nayeye ni muongo
Ndege wafananao huruka pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…