Pre GE2025 Josephat Gwajima karibu CHADEMA tuijenge nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu hayo mambo kama ni Mungu kaamu wala si kitu
 
Acha tabia mbaya ya kutaka kuwatafsiri vema watu , wakati kiuhalisia hawako hivyo. Kwa Nini unamsemea Gwajima? Kama yeye Yuko huko na hajasema hapafai, wewe ni nani unamsemea kuwa hapamfai. Don't put words in his mouth. Wewe siyo yeye. Msiwape watu picha za uzuri wakati huo uzuri siye hatuuoni
 
Akiingia chadema anaweza kuchukua tena jimbo la Kawe,Halima Mdee sasa hivi hata akisimama kupitia CCM kura 100 hapati
 
ushauri wa kisiasa uliojikatia tamaa mapemaaaa! dah 🐒
 
Siasa za nchi masikini ni unafiki mtupu
Mtu huwezi kuwa muadilifu halafu ukawa mnafiki kwa wakati mmoja
Haya yanatokea Africa tu
Mcha Mungu na siasa wapi na wapi
Mnajua wazi kuwa siasa ni uongo tu sasa utamuogopa Mungu kivipi?
Tuache utani jamani
Kama alikubali kwenda huku mwacheni alikuwa na akili zake alipokubali
Ila wazalendo hakuna
 
Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sababu upo CCM.
Kwamba yeye siyo muovu?
Huyu si tunaambiwa anafufua waliokufa, mbona hakumfufua shujaa wa watu?
Huyu pia ni muovu aliyetajirika kwa hela za masikini.
Hana sifa yoyote kuongoza Tanzania
 
Kumcha Mungu hakukuzuii kuwa mwanasiasa, na wala haondoi ukristo wako
 
Kwamba yeye siyo muovu?
Huyu si tunaambiwa anafufua waliokufa, mbona hakumfufua shujaa wa watu?
Huyu pia ni muovu aliyetajirika kwa hela za masikini.
Hana sifa yoyote kuongoza Tanzania
Bro kila mtu ni mwoovu ,ila tumetafutiana viwango vya uovu.
 
Shida ni uwadilfu hamna mkuu, kufanya siasa sio dhambi,
 
Foreshadowing mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…