Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Anakuja kumlipua Ndugai ili awe chawa wa MamaGwajima mzee wa kuchochea kuni. Alishaelewana na shemeji yake waziri wa afya? Au ndiyo anakuja kumlipua?
Imawezeka anataka kutupa up date wakazi wa kawe za kuhamia MarekaniAmeitisha mkutano na wanahabari muda huoView attachment 2069945
Thubutu!TETESI: GWAJIBOY KESHO ANAKUJA KUTANGAZA KUACHIA UBUNGE RASMI!
Uko tayari tupinge weka dauThubutu!
Ccm wote ni nyumbu.. Haya yote yana fanywa kupotezea issue ya Mbowe.. Wote kwa sauti kubwa tuseme MBOWE SIO GAIDIIII... FREE MBOWE....Ameitisha mkutano na wanahabari muda huoView attachment 2069945
Itakuwa amaleki wake tayari kashapatikana baada ya maombi ya mfungo kukamilika hivyo anatuletea mrejesho.Ameitisha mkutano na wanahabari muda huoView attachment 2069945