Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
wanamagwanda bwana, wameshasahau mambo ya Arusha!
Kwahiyo Ibrahim aliyemzaa Isaka aliyemzaa Yakobo (Israel) alikuwa mwislam?sitaki nionekane mdini lakini hilo jina ni la kiislam na slaa ni mkristo..labda majina hayamaanishi kitu.(correct me if iam wrong)
Nadhani kwa Wafuasi wa YESU wa Nazareth aliye Hai, wanatumia jina la ABRAHAM badala ya IBRAHIM.ilo jina la kikisto bwana mbona mi milisoma seminari na mtu anayeitwa Ibrahim
Ikiwa ni mtoto wa 1 kwa umri huu alionao na huyu mama inasemekana bado ni mke wa mtu, nadhani kitengo cha dna inabidi kituhakikishie.
Nasikia Dk slaa amepata kijana. kwa kuwa mazingira ya UCHUMBA, mitikisiko ya mapambano aliopata mzazi wa mtoto huyo(Mchumba wa dk slaa) akipigania uhuru wa pili wa mtanzania ni wazi mtoto huyo anahitaji kupewa jina kama Kumbukumbu.
akizaliwa ktk mazingira magumu(mapambano ya mama yake na Polisi Arusha) huku baba yake akiwa na kesi mahakamani. ni wazi jina linalomfaa kijana huyo ni
"Ibrahim"
Ibrahim ni jina la kikristo na cc kama wakristo huwa naamini ni kuwa Ibrahim ni baba wa imani lakini mimi naona aitwe Emmanuel yaani mkombozi wetu
Jaman watu maaruf wakizaliwa mtajua tu!Hebu fikir leo wamezaliwa wangap?Huyu amekuwa gumzo.hiz ni ishara za nyota njema nafikir hata ingekuwa kiangaz mvua ingenyesha.Hongeren sana mr. & mrs.Slaa.Wenye wivu jinyongen kwan mtachonga sana ila Ndo hivyo mtu maaruf kazaliwa.hebu nanyie zaen muone kama kuna atakayesema.Acha wivu wa kitoto
Mwache kwanza mkeo alafu akiwa na mahusiano na mwingine uhoji.mbona hata maumbile yatamlazimu kuwa na mahusiano tu na akipenda azae.tuache kuingilia mambo ya watu ya ndani.Mkuu, vipi wewe ikitokea kwa mfano John Komba, kampa mimba mke wako wewe utajiskiaje?
kwel binadam sis wanafik .Tukubal wamefanya dhambi.unaanza kuwahukumu kwamba hawasamehewi,wewe je huna dhambi?nafiki umekata tama kuwa husamehewi hadi unamsemea mungu.toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzin kwenye jicho la mwenzako.Mnao mpongeza Dr Slaa KWA KUZAA HARAMU ni WANAFIKI wakubwa.Kama mna mioyo ndani yenu nipeni mimi wake zenu niwazalishe.Kwa kitendo hiki Dr Slaa hatasamehewa daima na huyo mume wa Josephine, na hata Yule aliye Juu hatamsamehe.Hata hivyo itakuwa rahisi kusamehewa mna mume wa Josephine kuliko na Muumba wake.
Huko marekan wanakojal personal issues wanachekesha maana kutembea uchi si tatizo.Great thinkers bwana wananikosha kweli kweliIngekuwa Marekani, slaa angekuwa ameshafilisika kisiasa ila kwa kuwa bongo hamjali personal issues basi ndo twasema hewala
Ingekuwa Marekani, slaa angekuwa ameshafilisika kisiasa ila kwa kuwa bongo hamjali personal issues basi ndo twasema hewala