Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
wanamagwanda bwana, wameshasahau mambo ya Arusha!
Acha ukuda wewe, hata ukiwa na machungu vp ukipata kitu kizuri au taarifa nzuri kama hizi unasahau shida zote au machungu kwa muda. Hongera sana DR.Slaa na first lady wetu kwa kupata shujaa mpya.