Josephine Mshumbusi ajifungua

Josephine Mshumbusi ajifungua

Naanza kwa kuwashukuru wote,naheshimu mawazo na mchango wa kila mmoja kwani kila mtu ananena kilichomo ndani ya moyo wake.Jambo moja tu naloweza kusema sikumpata mtoto kwa bahati mbaya wala kumbahatisha,nilimtamani na kumuhitaji hivyo namshukuru Mungu ameniwezesha,kwangu mimi ni mtoto wa thamani sana Namtukuza Mungu wakati wote.kwenu ninyi mnaomtamkia maneno yafedheha nayarudisha kwenu na familia zenu,Mungu aliyeniumba hajanihesabia dhambi iweje ninyi?Hatutayumbishwa na maneno ya watu tutamuangalia Mungu aliyetuumba kwani yeye ndiye taa na nuru yetu wakati wote,anayajua mapito yetu lakini pia anaijua kesho yetu.Yeye ndiye aliyetuwezesha kama angetuhukumu kama baadhi yenu hapa basi alikuwa na uwezo wakuzuia kila kitu kisiwezekane.Najua jambo moja tu Njia zake siyo kama za mwanadamu.Mungu awabariki.
Amen kubwa .kwa kwel kaz ya kuumba ni ya Mungu na siku zote hakosei.
 
Acha unafiki wewe,hatasamehewa kwani wewe ni Mungu? Acha umbea wewe au na wewe unataka chako...?
Hapa mnafiki nani?
Hivi unaelewa maana ya unafiki au unasikia tu neno hilo.
Ukitaka wewe uonekane sio mnafiki basi NIPE MKEO NIMPE MIMBA, halafu UNIPONGEZE.
Hapo nitajua wewe kweli si mnafiki.
Acheni hypocrisy, yale usiyopenda kutendewa usiyatende kwa wengine.
Sasa mtu utaliaje na wezi wa pesa wakati wewe ni mwizi wa wake za watu!
Naomba kutoa hoja.
 
Aminiel Mahimbo, ndio mume wa ndoa wa Josephine Mushumbusi, ndoa yake ilifungwa Agosti 16, 2002 na Mchungaji Lewis Hiza. Katika kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kijitonyama!
 
Mchumba wa dr slaa amejifungua jana usiku pale hospital ya muhimbili saa tano usiku. MTOTO WA KIUME.Hongera josephine, hongera slaa mtoto sio mchezo.
Slaa, alimpora Aminiel Mahimbo Mke wake! Alikuja kusema alikuwa mtoto wao wa kwanza anaitwa Pendo, (7) ndio alimwambia baba yake, Baba tunaishi na Daddy siku hizi
 
Slaa, alimpora Aminiel Mahimbo Mke wake! Alikuja kusema alikuwa mtoto wao wa kwanza anaitwa Pendo, (7) ndio alimwambia baba yake, Baba tunaishi na Daddy siku hizi

Unatafuta ubwabwa bila shaka
 
Rev Mary Glasspool

Kwa hisani ya Ustaadhi DoeDoe

16979_podborka_101.jpg
 
huyo mtoto aitwa QWARAY jina la kimbulu likimanisha mapambano kama alivyo babake,sie wana manyara nadhan ndo 2ta enjoy kulitamka wenze2 wa pwani sasa jaman,hahaa
 
DR Slaa na Josephine hongereni
Wanaharakati tunamkaribisha mwanaharakati wa ukweli koz tulimsubiri kitambo...
Amekutana na mikikimikiki mingi ya kiharakati so sio mbaya akipewa jina la Maactivists wa ukweli mfano... Che Guevala Slaa, Castro Slaa,
 
Slaa, alimpora Aminiel Mahimbo Mke wake! Alikuja kusema alikuwa mtoto wao wa kwanza anaitwa Pendo, (7) ndio alimwambia baba yake, Baba tunaishi na Daddy siku hizi
unawezaje kupora mke? Kumbuka mke siyo mashine wala bidhaa.
 
unawezaje kupora mke? Kumbuka mke siyo mashine wala bidhaa.

Ukiwa na mafao ya kustaafu ubunge na mkataba wa kulipwa mamilioni baada ya uchaguzi unaweza kukaa kwenye hoteli za kifahari(ABLA) ndugu yangu KILA KITU KINAWEZEKANA.
 
Nilifikiria wakati wa kampeni masuala ya uzazi yanasimamishwa kwanza kumbe kampeni zilikuwa mbili...............moja ya Urais na nyingine ya kupata mtoto........................ilikuwepo kazi kweli hongereni the putative first family....they robbed you the election but God has rewarded you with even a greater gift that no one can steal from you...............Congratulations the Slaa family on this auspicious occasion..................
 
Naanza kwa kuwashukuru wote,naheshimu mawazo na mchango wa kila mmoja kwani kila mtu ananena kilichomo ndani ya moyo wake.Jambo moja tu naloweza kusema sikumpata mtoto kwa bahati mbaya wala kumbahatisha,nilimtamani na kumuhitaji hivyo namshukuru Mungu ameniwezesha,kwangu mimi ni mtoto wa thamani sana Namtukuza Mungu wakati wote.
kwenu ninyi mnaomtamkia maneno yafedheha nayarudisha kwenu na familia zenu,Mungu aliyeniumba hajanihesabia dhambi iweje ninyi?

Hatutayumbishwa na maneno ya watu tutamuangalia Mungu aliyetuumba kwani yeye ndiye taa na nuru yetu wakati wote,anayajua mapito yetu lakini pia anaijua kesho yetu.Yeye ndiye aliyetuwezesha kama angetuhukumu kama baadhi yenu hapa basi alikuwa na uwezo wakuzuia kila kitu kisiwezekane.Najua jambo moja tu Njia zake siyo kama za mwanadamu.Mungu awabariki.

Hawa wa magamba inawauma sana ndo maana wanachonga
 
Aminiel Mahimbo, ndio mume wa ndoa wa Josephine Mushumbusi, ndoa yake ilifungwa Agosti 16, 2002 na Mchungaji Lewis Hiza. Katika kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kijitonyama!

Slaa, alimpora Aminiel Mahimbo Mke wake! Alikuja kusema alikuwa mtoto wao wa kwanza anaitwa Pendo, (7) ndio alimwambia baba yake, Baba tunaishi na Daddy siku hizi

Kama wewe ni mwanaume karibu hapa Simba amepakatwa
 
Mnao mpongeza Dr Slaa KWA KUZAA HARAMU ni WANAFIKI wakubwa.Kama mna mioyo ndani yenu nipeni mimi wake zenu niwazalishe.Kwa kitendo hiki Dr Slaa hatasamehewa daima na huyo mume wa Josephine, na hata Yule aliye Juu hatamsamehe.Hata hivyo itakuwa rahisi kusamehewa mna mume wa Josephine kuliko na Muumba wake.
wewe c una vimada wengi kwa mtaa? au kwa sabab hujatangazwa? niruhusu..,..
 
Back
Top Bottom