Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Dhana nzima ya mtu na akili zake "kuibiwa" ni tete, lakini kisheria Josephine hadi leo hii ni mke wa mtu mwengine, hilo lipo wazi
Mkali huyo! Si unawafahamu akina Mwita, Chacha, Marwa, Robi, Ghati, Bhoke,...Halistahili kuulizwa na mwanamme kwa sababu gani? Hebu maelezo kidogo
Labda niliulize hivi: Sheria inasemaje kuhusu hali kama hii?
Sasa mwalimu, nataka tuzungumze hapa bila ushabiki ili kuelimishana na kusaidiana kwakuwa mambo haya yanatokea kila siku.
Ikiwa Josephine anatambua kwamba aliwahi kuolewa na mwanaume mwingine lakini kutokana na sababu ambazo sisi hatuzijui tukaja kumkuta anaishi na Dr. Slaa, kwanini lawama anabebeshwa mtu mmoja tu hapa? mbona hatujipi jukumu la kutaka kujua kilichomtoa kwa mahimbo ili tuwe fair kwa watu wote watatu?
Halistahili kuulizwa na mwanamme kwa sababu gani? Hebu maelezo kidogo
Dr Slaa pamoja na kusoma canon law na sheria zingine na kuwa Padre kwa miaka mingi tu akifungisha NDOA, akisuluhisha ndoa, bado akanasa namna hii?Sasa mwalimu, nataka tuzungumze hapa bila ushabiki ili kuelimishana na kusaidiana kwakuwa mambo haya yanatokea kila siku.
Ikiwa Josephine anatambua kwamba aliwahi kuolewa na mwanaume mwingine lakini kutokana na sababu ambazo sisi hatuzijui tukaja kumkuta anaishi na Dr. Slaa, kwanini lawama anabebeshwa mtu mmoja tu hapa? mbona hatujipi jukumu la kutaka kujua kilichomtoa kwa mahimbo ili tuwe fair kwa watu wote watatu?
Kama TALAKA haijatolewa, Dr Slaa alikuwa anafanya nini na huyu dada?
Kwa mwanaume aliyetimiza vigezo vya kuitwa hivyo, kama nilivyokuwa nikidhani ndivyo alivyo WC, hastahili kuuliza swali kama hilo kwakuwa majibu yake yako so obvious!!
Ulinisoma kwa jazba na munkar. Nisome tena.Kwa mwanaume aliyetimiza vigezo vya kuitwa hivyo, kama nilivyokuwa nikidhani ndivyo alivyo WC, hastahili kuuliza swali kama hilo kwakuwa majibu yake yako so obvious!!
Nani kabebeshwa lawama? Wapi? Hakuna anaekataza mwengine kushusha elimu hiyo mkuu, we lete watu watachangia
Mwalimu u cant be serious on this. Kwamba hujui mashambulizi na lawama zinaelekezwa kwa nani?
Suala la elimu ndilo na mimi nataka, na ili ipatikane inabidi tujue toka pande zote zinazohusika kuliko hivi tunavyoshabikia vitu tusivyokuwa na uhakika navyo.
Tukubali jambo moja tu hapa. Kiasi flani Dr Slaa ni kiwete kwa mambo haya.acha unafki na maswali ya kitoto!
Sina muda wa kutafuta data mi nataka wewe unaeshabikia mambo yasiyokuhusu anza kuleta threads zinazomhusu mama yakoUkipata data zake, zilete zijadiliwe.
Mkali huyo! Si unawafahamu akina Mwita, Chacha, Marwa, Robi, Ghati, Bhoke,...
Dr Slaa pamoja na kusoma canon law na sheria zingine na kuwa Padre kwa miaka mingi tu akifungisha NDOA, akisuluhisha ndoa, bado akanasa namna hii?
Ulinisoma kwa jazba na munkar. Nisome tena.
Hahaha jibu lake angekuwa FaizaFoxy yupo angelitaja wazi hapa bila ya chenga. Angesema kilichomsukuma Dr.Slaa huko
nimemwona yule mushumbusi kakaa kishamba shamba sana na yeye'halafu anaabudu ulevi sana ndio maana mwanamke kamwacha
Mbona haya ni mashambulizi ya kujitakia tu! Kwa UMRI na HADHI yake kwa WATANZANIA, Dr Slaa anapaswa kuwa kioo chetu sote. Awe makini tu na hawa akina mama. Wamewaangusha wengi.Mwalimu u cant be serious on this. Kwamba hujui mashambulizi na lawama zinaelekezwa kwa nani?
Suala la elimu ndilo na mimi nataka, na ili ipatikane inabidi tujue toka pande zote zinazohusika kuliko hivi tunavyoshabikia vitu tusivyokuwa na uhakika navyo.
Tukubali jambo moja tu hapa. Kiasi flani Dr Slaa ni kiwete kwa mambo haya.