Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Washabiki wako wangependa kujua mbona ulikuwa kimya maana katika makala yako hujajibu swali bali umekanusha tu kwa uliyotabiriwa
Nilikuwa kimya kwa muda wa mwezi mmoja kwa sababu ya harakati za maisha mkuu na kwenye hizo harakati hakukutokea kimojawapo kati ya hivyo wanavyonizushia ndio maana nimetoa ufafanuzi wote hapa
 
Mkuu nafahamu hivyo ila ninachoweza kukwambia ni kuwa Taarifa hizo sio rasmi kwa kuwa hazina ukweli wowote, ningekuwa nimetekwa au kimenitokea kitu kibaya nisingesita kutoa taarifa rasmi au mngepata hizo taarifa kwa kuwa kuna members najuana nao nje ya JF...
 
Samahani, kwani wewe ni nani? I mean umuhimu wako mpaka ujielezee namna hiyo?
Mimi ni mwanachama wa JF..nilizushiwa taarifa ambazo hazina ukweli wowote na baadhi ya members kwa hiyo nazikanusha
 
Aaah mkuu walikua wanasema nimekuteka eti nimekupelekwa zimbabwe walichanga na rambi rambi ninazo hapa[emoji56]

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
Mhhh Zimbabwe tena?? Hahaha hiyo taarifa niliiona mkuu nikawa nacheka tu.. warudishie rambirambi zao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…