Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #201
Asante nashukuru Sista... hao watu siwaelewi wana lengo gani haswa, sasa sijui ni kuharibiana majina au ni vipi yaani....Jamaaaniii Jose.... Nafurahi kukuona tena jamaani.... Karibu jukwaani kwa mara ingine
Halafu kuna siku mmoja aliuzwa akadai ni wewe.... Kuna watu wa ajabu sana