Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Ila mie kuhusu "kufariki" mie nilikanusha kwa kuwa yule aliyepata ajali jina lilionesha ni mtu wa Kagera na wewe nakujua ni mtani wangu (mchaga).
 
karibu mkuuu pia nataka nikwambie kuwa kuna girls wameongezea huku wazuri kishenzi yaani kwa mambo yetu yale ya usiku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee
 
Ma sweet kaka naona umeludi misi u machi machi......[emoji182] [emoji182] [emoji173]
Lovely Sis...nimerudi aisee, mihangaiko ya maisha ilifanya nikapotea kwa muda..ila usijali your Lovely Bro nipo [emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…