Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Ila mie kuhusu "kufariki" mie nilikanusha kwa kuwa yule aliyepata ajali jina lilionesha ni mtu wa Kagera na wewe nakujua ni mtani wangu (mchaga).
Yeah niliona kwenye ule uzi, ila bado watu hawakuamini kabisa nadhani taarifa zote watazipata hapa kwenye huu uzi sasa
 
Mhhh Zimbabwe tena?? Hahaha hiyo taarifa niliiona mkuu nikawa nacheka tu.. warudishie rambirambi zao tu
Mkuu kuna kitu najiuliza nashindwa kupata jibu.

Ulikuwa nje ya JF mwezi mzima na taarifa zingine zilitolewa muda sana kiasi kwamba hata threads zake haziwezi kupatikana kiurahisi , sasa na wewe umejuaje yote hayo hali ya kuwa umekuja jana tu.?
 
Mukuru ulikuwa unatumia id ya pili kuwacheki tu

DJ sepetu
Nimewacheki kwa ID hiihii baada ya kuona watu wameniquote na kunimention kwenye hizo thread zilizonihusu mimi, hiyo ID nyingine unayosema siielewi na siijui nimekana
 
Yeah niliona kwenye ule uzi, ila bado watu hawakuamini kabisa nadhani taarifa zote watazipata hapa kwenye huu uzi sasa
Uliwezaje kujua mkuu?

Ule Uzi wa muda sana,na pia comments zipo nyingi na nyingine zipo ndani zaidi kiasi kwamba kama kuna MTU ndio anaanza kufungua huo uzi si rahisi kuziona, lakini nashangaa wewe unazijua na umekuja jana tu na uzushi mwingine wote umeujua haujaauacha hata mmoja ,sasa duh napata ukakasi kidogo.
 
Aiseee karibu sana ,, ile nafasi ya kwanza hakuna MTU aloweza kui maintain km wewe mkuu !!!

You are warmly welcome.
 
Mkuu kuna kitu najiuliza nashindwa kupata jibu.

Ulikuwa nje ya JF mwezi mzima na taarifa zingine zilitolewa muda sana kiasi kwamba hata threads zake haziwezi kupatikana kiurahisi , sasa na wewe umejuaje yote hayo hali ya kuwa umekuja jana tu.?
Hayo yote unayoyasema nimeyaona kwenye notification za kwenye Account yangu hiyo hiyo jana mkuu, na ukitaka hizo thread wewe sema tu
 
Back
Top Bottom