Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Kwani kuna Wanausalama wengine nchini Tanzania ukiondoa hao tu wenye Kituo chao cha ' Daladala ' hapo pande za ' Migomigo ' Mkuu?
Mmmh hayo mambo yao siyafahamu kwa kina kiongozi huwa nasikiasikia tu
 
Uliwezaje kujua mkuu?

Ule Uzi wa muda sana,na pia comments zipo nyingi na nyingine zipo ndani zaidi kiasi kwamba kama kuna MTU ndio anaanza kufungua huo uzi si rahisi kuziona, lakini nashangaa wewe unazijua na umekuja jana tu na uzushi mwingine wote umeujua haujaauacha hata mmoja ,sasa duh napata ukakasi kidogo.
Sasa mkuu wewe ndio uko kwenye notification center ya Account yangu ya JF?? Jibu ni hapana... Taarifa ni nyingi mno zimezushwa sikatai ila nimefanya kuzifupisha tu ieleweke nisiwachoshe watu kwa thread ndeefu... Speed yangu ya kusoma naijua mwenyewe kwa hiyo usihofu.....hiyohiyo jana nilizisoma
 
Back
Top Bottom