Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Hivi kureply wa kwanza kwenye thread kuna kufanya uwe mtu wa usalama?

Walimwengu bhana...!!

Happy to see you back brooh..! [emoji123][emoji123]
Hapana mkuu hakukufanyi uwe mtu wa system usalama..
 
Karibu sana, ila bahati mbaya avatar yako inatumika na mtu ambaye hana busara, mpuuzi Fulani humu JF mwenye ID mia moja kidogo, kwa sasa amefungua ID mpya yenye avatar kama yako anajiita CURICULLUM lakini ndio yule yule HR 666, YEEZUS, YEEZUS 2, Jordi pola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…