Maumivu ya moyoJeseverest mkuu sioni tofauti yako Deogratius Kisandu
Najua roho inauma ..vumilia tuKwani wewe ni nani humi Jf, kwa mfano.
Hans Pol
KumbeKaribu sana, ila bahati mbaya avatar yako inatumika na mtu ambaye hana busara, mpuuzi Fulani humu JF mwenye ID mia moja kidogo, kwa sasa amefungua ID mpya yenye avatar kama yako anajiita CURICULLUM lakini ndio yule yule HR 666, YEEZUS, YEEZUS 2, Jordi pola.
hahahah ndio huyo HR 666 na ma ID yake mengine mengi sasa ana ID mpya ya CURICULLUM ameiba avatar ya JoseverestKumbe
poa master aseeAise bro karibu bwana
Shukrani ndugu ubarikiweOk umeomba msamaha Nikukusamehe bure...
Asante sana mkuu..Tuko pamoja
[emoji113] [emoji61] sawasawa BossWatu walijitahidi kukirithi 'kiti chako cha enzi' lakini wamefeli mbaya!
Karibu tena boss..
True mkuu yalisemwa mengi
Asante Brother
Asante mkuuKaribu
Ahaha hujaelewa wapi mkuu
Thanks Mr Giblin