Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #381
Back again [emoji123] [emoji123]Jose ninja is back
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Back again [emoji123] [emoji123]Jose ninja is back
Aiseeh
Nilishafanyaga matanga na kupokea lambi lambi zako nikazilewea ngoja nikipata mwakani nitakutumiaBack again [emoji123] [emoji123]
kama hivyo tu wewe unavosikia...taarifa za kipelelezi na kiusalama sizijui sana
Mkuu kuna watu nafahamiana nao nje ya JF taarifa zitaletwa kama itakuwa hivyoUKIFA KIUKWELI NITAJUAJE SASA??
Teh teh teh sawa kiongoziNilishafanyaga matanga na kupokea lambi lambi zako nikazilewea ngoja nikipata mwakani nitakutumia
Nadhani hii mada ndio hailewei au hata wewe hakujui umaarufu wakoAhaha hujaelewa wapi mkuu
Salute
Akihitaji kumuelewesha ntamueleweshaNadhani hii mada ndio hailewei au hata wewe hakujui umaarufu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana dogo..unapoheshimu wakubwa wako unapata maarifa.
Mkuu jiheshimu aisee kwa hizi kauli zakoSafi sana dogo..unapoheshimu wakubwa wako unapata maarifa.
Hongera sana kilichobaki uoge na upige mswaki vizuri kutoa iyo harufu mbaya mdomoni.
Karibu sana