Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

kama hivyo tu wewe unavosikia...taarifa za kipelelezi na kiusalama sizijui sana

Mbona kuna Mtu mmoja humu simkumbuki jina aliwahi kusema kuwa Wewe ni mmoja wa ' Manjagu ' wa pande za ' Eagle Wing House ' Oysterbay? Mkuu tafadhali bhana usininyime na Mimi hizo taarifa kwani nyie ndiyo Watu wa nchi ambao hampitwi na taarifa yoyote ile ' Nyeti ' labda tu iwe sebuleni kwa Mwenyezi Mungu kule juu Mbinguni. Usiniangushe tafadhali kwani nakuaminia kunakotukuka.
 
MHHHHHHHHHH ULIKUWA WAPI MBONA HUTAKI KUSEMA ULIKUWA WAPI.....KUNA WATU WALIAAPA KUWA ILE AALI NI YA KWAKO? NA KWA NINI BAADA YA KUANZISHWA KWA THREAD YA KUKUHITAJI URUDI KWELI UMERUDI AU NI ID AMBAYO IMEFUNGULIWA NA KUENDELEA KUWA HEWANI TU...

NINA MASWALI MENGI AMBAYO SINA MAJIBU YAKE.. NA KWA NINI ILIKUWA VYEPESI ID YAKO KUHUSISHWA NA KIFO CHA AJALI UBUNGO...

NA SIYO HIVYO TU KUNA WATU WALITISHIWA KUTOCHANGIA HOJA YOYOTE KWENYE UZI ULIOANZISHWA HIYO ILITOKNANA NA NINI?
JE KILIKUWA NI KIPIMO CHA KUTAKA KUJUA WHO KNOWS YOU AU LAH..

BADO NAJIULIZA MASWALI MENGI SANA LABDA NIKITULIA NITASOMA KILA ALIEYCHANGIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…