Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Yuko vizuri[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Katika harakati zako za kuwakumbusha na Kuwahusia waja naona unajitahidi sana Kutoa Daawa. Ah hah, Asante Ushimen
Huyo mtu sio mimi, ni mtu mwingine tu ameamua kuiba avatarKuna mtu humu anatumia avatar yako nilijua ni wewe, ila nilishtuka comments zake tofauti na upeo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi uko wapi mpaka muda huu jamani!!!
Okey, ufike salama laazizi[emoji8] [emoji8]
Mkuu....Haijanikwaza ila nimeshangaa tu kuiweka hapa
NaelewaaMkuu....
Usishangae sana, penye wengi pana mengi...[emoji4] [emoji4]
Sikua kwenye harakati mkuu....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Katika harakati zako za kuwakumbusha na Kuwahusia waja naona unajitahidi sana Kutoa Daawa. Ah hah, Asante Ushimen
Miss u babe. Huyu Joseverest anakuja lini kwetu kutuambia alikuwa wapi?Okey, ufike salama laazizi[emoji8] [emoji8]
VizuriSikua kwenye harakati mkuu....
Ni thread imenikuta nikiwa kwenye somo hilo ndugu.....
Nikajikuta nashea kile kinacho someka na maandishi ilhal nikiwa kwenye maandiko ( Surat)
Pamoja mkuuVizuri
Alikuwa verified user kabla hajapoteaJoseverest naona umerudi upya. Umekuwa verified user na kama haitoshi profile picture imefanyiwa rebranding kujitofautisha na wezi.
Hivi hii "verified user" ina maana gn?! Mi nilikimbiaga umandeAlikuwa verified user kabla hajapotea
Sana aiseee.....[emoji2] [emoji2] [emoji2]Huyu Jose ni maarufu du