Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Sana aiseee.....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ila kutoweka kwake kulipelekea mimi na wifi yako yule ambae haumjui (wa humu) tukagombana. Niliona wivu kwasababu bae alikua anamtetea comrade....[emoji17] [emoji17] [emoji17]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Unasema kweli comrade??
 
Sana aiseee.....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ila kutoweka kwake kulipelekea mimi na wifi yako yule ambae haumjui (wa humu) tukagombana. Niliona wivu kwasababu bae alikua anamtetea comrade....[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Loh pole mkuu
 
Hivi hii "verified user" ina maana gn?! Mi nilikimbiaga umande
Mtumiaji aliyeidhinishwa..

Akaunti yake imehakikiwa na moderators kuwa ana jina halisi kama lilivyo kwenye vitambulisho vinavyotambulika kitaifa
 
We ni mtu poa sana Kama Unajituma kushere na sisi neno la Mungu ubarikiwe tena na tena,,,
Mini poa Mkuu wakati wa mawio ya mwezi, lakini mini mtata wa haja kipindi cha machweo ya mwezi.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom