Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Asante mkuu, Hyo nafas endeleen nayo tu msiwaze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakato mwingine unakera mnoo
Iweje ukae kimya bila taarifa na kutuweka roho juujuuu??

Unafikiri ni kiasi gani cha mioyo yetu ilifikia kwa kutafuta ni wapi uliko???


Muwe mnakuwa na mioyo ya huruma, kila ilipotokea ajari watu tulijitokeza na kapicha kako mikononi ili kujiridhisha ni wapi uliko.

Tulidiriki wengine kuzizungukia mochiali ili kujiridhisha
.sasa leo umejitokeza hadjarani na bado unatuacha na maswali lukuki
 
Aseeh mkuu samahani kwa hilo kama ulikereka kwa namna moja au nyingine, usijali mambo yamekaa sawa sasa

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Aseeh mkuu samahani kwa hilo kama ulikereka kwa namna moja au nyingine, usijali mambo yamekaa sawa sasa

Sent from my iDevice using Tapatalk
Shida sio yamekaa sawasawa sasa, inshu ni ulikuwa wapi??

Ili tujiridhishe usije ukawa unaandika kwa shinikizo la watu fulani, ujie huu mchezo siku hizi umekuwa maalufu hasa kwa wale tuliofikiri kuwa yawezekana wame kuroma mkatoliki na ukashonikizwa kufanya hiki unachokifanya, tunaomba ututoe wasi wasi hasa kuhusu uhuru wako, afya yako, mazingira yako na mengi kama hayo, usiishie kutoa majibu ya akina Roma mnatuumiza roho hasa kwa wale tunaoithamini mchango yenu katika jamii
 
Ok kwa ufupi nilikuwa na route mikoani Arusha-Moshi-Dar na mikoa ya kusini kwa shughuli za kikazi/kibiashara ndio maana nikawa offline mwezi mmoja

Hamna aliyeniteka na siandiki hapa kwa shinikizo la 'watu fulani'
Nipo Huru kabisa, afya yangu iko poa sana, mazingira yanayonizunguka yako poa nayo

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Hiyo namba 2 mbona watu siku hizi wanaishupalia sana.
 
Mkuu maliza utata ulikuwa wapi mwezi mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ulikuwa wapi!?

Kama ni ban ni ya nini!?


Mkuu huwezi ukatiririka tu kujitetea halafu usituambie hitimisho la kwa nini ulikuwa huonekani jamvini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…