Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #621
aaah hiyo sijui..ni watu tu walinizushia kuwa nna ugomvi wa kugombania demu na mods kumbe UONGOMkuu hiyo namba nane (8) ni kweli mods wana mademu humu majukwaani kama ulivyoandika?
Fresh mkuu tupo pamojaASsalaam Aalaykm.
Pole sana na Dhanna potevu za humu janvini
Dizzim mkuuUlikua wapi wewe
Yes BabeBebe[emoji24]
Ulikuwa wapi mi nimenuna ujueYes Babe
Jose JuniorJose huyo dogo kwenye avatar anaitwa nani?
Sio sahihiNa ile ya kuwa ktk paper la kidato cha nne vipi haina kaukweli mkuu
nipo serious mkuu,kuna mtu nimemuona anatumia picha ya huyo dogo ila sio kama ya kwakoJose Junior
vizuri sana mkuu...Nimefurahi sana tena sana. Asante
Duuuh picha tenaUmerudije weka Picha
Alaaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umevutika na jiji la makonda.Dizzim mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] anhaa..mpotezee tu mkuunipo serious mkuu,kuna mtu nimemuona anatumia picha ya huyo dogo ila sio kama ya kwako
Mkuu ukweli nikiona avatar yako huw nahurahi sana.vizuri sana mkuu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] ohooooo..mimi sio mkaaji sana nitarudi kwetu mkoani[emoji87] [emoji87] [emoji87]Alaaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umevutika na jiji la makonda.
Umeshakuwa rasmi mwanaume wa dar.
sio kama avatar yako ipo tofauti kabisa.[emoji15] [emoji15] [emoji15] anhaa..mpotezee tu mkuu
Asante mkuu....Mkuu ukweli nikiona avatar yako huw nahurahi sana.
Kiukweli jina kama jina lake halisi sijalijua tu..niliichukua mahala ndio nikaamua niitumie mkuusio kama avatar yako ipo tofauti kabisa.
Inaonesha huyo dogo ana historian fulani ya kustaajabisha.
Kwa hiyo ndio maana nikataka nimjue jina lake nikamsome kiundani zaidi
Pamoja mkuuAsante mkuu....
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Pamoja mkuu