kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,750
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Poa poa chalii[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja nitakutafuta private mkuu tuonane...mmmh
Wanasema gesi imepungua na mabwawa yamekauka masika badoNa umeme wanazidi kukata tu...sijui shida ni nini
I miss you too...... Nlikua naboreka vile sikuoni Kwa jukwaa.... Nashukuru umerudi hope nafasi yako utaendelea kuitumia vizuri karibu kwa Mara nyingine tenashukrani zeshchriss..i miss you...You know?
Poa poa Shem nimekupata vyema, ushauri wako nitauzingatiaAisee karibu best, uwepo wako uligundulika ulipokosekana.
Pls usituache tena hivyo kwa muda mrefu
Happy to see u again
freshPoa poa chalii
Asante manWelcome back nigga
Hapana mkuu yaani ungejua sijihusishi kabisa na ishu zozote za kisiasa/kiusalama ungeelewaEti nyie ndio mlikuwa mnasuka mpango wa kumvamia yule jamaa wa arumeru mashariki baada ya kukamilika ndio ukarudi jf
Asante kiongozikaribu tena aisee,kidogo tuliona pengo lako
Cha msingi wazidi kuboresha huduma zaoWanasema gesi imepungua na mabwawa yamekauka masika bado
Vilevile nyaya zimeoza ni za mwaka 50 kabla ya uhuru
Tanesco bana😀
Oooh kumbe??.... Basi sawa usijali tupo pamojaI miss you too...... Nlikua naboreka vile sikuoni Kwa jukwaa.... Nashukuru umerudi hope nafasi yako utaendelea kuitumia vizuri karibu kwa Mara nyingine tena
[emoji2] [emoji1] [emoji3] Duuuh huko kwenye matukio hatari sihusiki mkuuHahahaaaa
Hafu José bwana unapoteaga mda wa matukio hatarii hatari haf unapatikana mmmhhh mkuu we ni kitengo nini