Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Aisee karibu best, uwepo wako uligundulika ulipokosekana.
Pls usituache tena hivyo kwa muda mrefu
Happy to see u again
 
Eti nyie ndio mlikuwa mnasuka mpango wa kumvamia yule jamaa wa arumeru mashariki baada ya kukamilika ndio ukarudi jf
 
shukrani zeshchriss..i miss you...You know?
I miss you too...... Nlikua naboreka vile sikuoni Kwa jukwaa.... Nashukuru umerudi hope nafasi yako utaendelea kuitumia vizuri karibu kwa Mara nyingine tena
 
Hafu José bwana unapoteaga mda wa matukio hatarii hatari haf unapatikana mmmhhh mkuu we ni kitengo nini
 
Aisee karibu best, uwepo wako uligundulika ulipokosekana.
Pls usituache tena hivyo kwa muda mrefu
Happy to see u again
Poa poa Shem nimekupata vyema, ushauri wako nitauzingatia
 
Eti nyie ndio mlikuwa mnasuka mpango wa kumvamia yule jamaa wa arumeru mashariki baada ya kukamilika ndio ukarudi jf
Hapana mkuu yaani ungejua sijihusishi kabisa na ishu zozote za kisiasa/kiusalama ungeelewa
 
I miss you too...... Nlikua naboreka vile sikuoni Kwa jukwaa.... Nashukuru umerudi hope nafasi yako utaendelea kuitumia vizuri karibu kwa Mara nyingine tena
Oooh kumbe??.... Basi sawa usijali tupo pamoja
 
Huu ujinga wa ety Fulani back ni upuuzi,MTU anafungua id mbili then anajipigia debe ??pumbf bora the bold anaeleweka na anatoa facts huyo mpuuzi sijui ata anamchango gani jukwaani,huyu mjinga tyu no need kumjadili mpuuz kama huyu mchango wake its almost 0% ety kukoment wa kwanza wakat hana hata point sifa za kijinga tyu
 
Back
Top Bottom