Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Wengine walishaiba mpaka avatar akoTrue, kuondoa utata aisee
nimewaona, nikazushiwa nimebadili ID hapo hapo kupitia hiyo avatar waliyoiiba, watu noma kweliWengine walishaiba mpaka avatar ako
Hahaha imebidi tu mkuu aseehNaona kombolela imefika mwisho...wa mwisho kufichama kaonekana
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji56] [emoji56] [emoji56] Ndani ya Tanzania mikoa kama Dar, Arusha, Kilimanjaro...Sasa ndo utueleze ulikuwa wapi.. Siyo kukanusha kinadharia tu.. Haha
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani na itawale