BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Poa Mkuu wengi watafurahi kukuona tena, wengine walikuwa na wasi wasi kwamba wamekuroma 🙂🙂
Mkuu ni hapahapa Tanzania nipo kuhangaika na maisha, leo huku kesho kule ila nashukuru Mungu mambo yanaenda...... Daah aisee, hao watu nimewaona mpaka wengine wakadhani ni mimi nina double IDentity labda kumbe sio..