Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Mwisho kabisa napenda kutoa RAI kwa baadhi ya watu kuwa, mtafute TAARIFA SAHIHI na sio ' Uzushi au taarifa mbaya zenye lengo la kumdhalilisha/kumchafua mtu aonekane mbaya/muongo/mfitini miongoni mwa wanajamii wanaomzunguka.

fafanua zaidi kwamba nani asizushiwe taarifa zisizo rasmi kwa sababu taarifa zisizo rasmi ndio msingi wa JFs ndio maana members wake wanaitwa wapiga filimbi.

mafisadi hayana rangi

 


Samahani, kwani wewe ni nani? I mean umuhimu wako mpaka ujielezee namna hiyo?
 
Aaah mkuu walikua wanasema nimekuteka eti nimekupelekwa zimbabwe walichanga na rambi rambi ninazo hapa[emoji56]

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Eti umetongoza mod dah nmejizuiA kucheka

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…