Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mukuru atakuwa darasa la 7C anajiandaa Na mtihanHuo sasa ni uchochezi mkuu
Wala Usijal..... T hajambo?Hamna bwana, kwani ni wangapi wanaondoka humu na hawaagi mkuu... Anyway ilikuwa ni mtazamo wangu tuu, Usinielewe vibaya
Hhmm.... Hayo sasa tena mimi simoKweli kabisa...huenda washel ilipakwa glisi
Sent from my TV
Umelianzisha.... Ha ha ha ha ha ha.Huo sasa ni uchochezi mkuu
Hajambo mkuu... Vipi wewe waendeleajeWala Usijal..... T hajambo?
AkuuUmelianzisha.... Ha ha ha ha ha ha.
Hahahah huyo jamaa kujitoa ufahamu ni kawaida yake.
Mimi niko poaHajambo mkuu... Vipi wewe waendeleaje
Vichaa wengi.... Unatakiwa uwe mwangalifu kweli ukiandika.Akuu
Humu kila mtu anaelewa kivyake, ila sio poa kumuwazia mwingine mabaya tuu
Mkuu, kuna msemo mimi binafsi huwa ni muumini sana, unasema "sio lazima ujue kila kitu". Sasa kabla ya kutaka kujua Joseverest ni nani jiulize kuna ulazima?Kwani wewe ni nani humi Jf, kwa mfano.
Hans Pol
Hahaha kweli milima haikutani ila binadamu hukutanaUmefika huku tenaa
DJ sepetu