Rudi nyumbaniHahaha kweli milima haikutani ila binadamu hukutana
Nimesharudi nyumbani nakusubiri weweRudi nyumbani
DJ sepetu
Iloooo[emoji12] [emoji12]Nimekuwa wa kwanza ku reply?
Asante mkuu
TISS tena?? sina uhusiano wowote na idara ya usalama wa taifa bibie witnessTISS bwana...
Unachokitafuta humu utakipata trust me bwana mkubwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa sana kamanda, ulipotea na wewe kiasi fulaniKaribu tena mkuu
[emoji106] [emoji106] [emoji106] mkuu
Hahaha maeneo ya dom sikukatiza huko mkuu[emoji56] [emoji56] [emoji56]Mara ya mwisho kuona coment ako ulikuwa maeneo fulani ya dodoma
Usiniulize nlikuonaje [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] back again
Alright mkuuHizi pumba tu
Shukrani koncho77Karibu tena mkuu
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio hata kiki mkuu, natoa tu utata haiwezekani uzushiwe mambo ambayo sioHaya kunja ngumi hii itakuwa fundisho kwa bodaboda,hii smart area,haya imba "Unatafuta kiki kwa pikipiki mara black Mara white vepee "?
Sent using Jamii Forums mobile app