Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wapi huko kaka?Mkuu umeingia chit-chat
Katika mbio za kuwa wa kwanza kuchangia, hamwezi kushindana na huyo mjamaa. Labda aamue kuwaachia.Mkuu unafanya setting tu,uzi wowote ukiletwa unapata Alerts.ila kama mtu upo busy unaingia Jf kimachale chale kama mie huwezi labda kama huna shughuli ya kufanya ndio unaweza weka setting za hivyo
So joseverst han kaz et?Mkuu unafanya setting tu,uzi wowote ukiletwa unapata Alerts.ila kama mtu upo busy unaingia Jf kimachale chale kama mie huwezi labda kama huna shughuli ya kufanya ndio unaweza weka setting za hivyo
Ameshauona huu uzi muda mrefu tu hivi sasa anachungulia.Joseverest kombolela!!!!! tokea huku
Kumbe bora mimi nilikuwa nafuatilia tu bila kuchangia chochote eti eeeAcheni majungu wanaume wazima mmekalia majungu loooh!!; yani humu ndani khaaa umekosa mada za kupost??! Hayo ni maisha ya mtu awe hana kazi awe na kazi hayawahusu fanyeni yenu na mkimjadili mmemkubaliii look
Wanaume wa dar bhanaa
Mmh bora wewe mwanamke wa Shinyanga mwenye kujua majukumu yakoAcheni majungu wanaume wazima mmekalia majungu loooh!!; yani humu ndani khaaa umekosa mada za kupost??! Hayo ni maisha ya mtu awe hana kazi awe na kazi hayawahusu fanyeni yenu na mkimjadili mmemkubaliii look
Wanaume wa dar bhanaa