Joseverest na wengineo wenye maujuzi inawahusu

Joseverest na wengineo wenye maujuzi inawahusu

Mkuu unafanya setting tu,uzi wowote ukiletwa unapata Alerts.ila kama mtu upo busy unaingia Jf kimachale chale kama mie huwezi labda kama huna shughuli ya kufanya ndio unaweza weka setting za hivyo
Katika mbio za kuwa wa kwanza kuchangia, hamwezi kushindana na huyo mjamaa. Labda aamue kuwaachia.
Anauwezo wa kukomenti mada zaidi ya moja kwa wakati mmoja.
Kama mnabisha wekeni shindano la kuwahi kukomenti halafu ndo mtajua kasi ya huyo bwana mkubwa.
Labda jambo lingine.
 
Wakuu mnapenda kupeana kiki za ajabu ajabu.. Hazina tofauti na kiki za bongo fleva..
 
Kuna watu humu ndio kazini...usiige kunya kwa Tembo mwanawane palilia mraba jf utaingia baadae ukitoka shamba,humuhumu humu muna ngadu za kutosha tu
 
Acheni majungu wanaume wazima mmekalia majungu loooh!!; yani humu ndani khaaa umekosa mada za kupost??! Hayo ni maisha ya mtu awe hana kazi awe na kazi hayawahusu fanyeni yenu na mkimjadili mmemkubaliii look

Wanaume wa dar bhanaa
 
Kumbe bora mimi nilikuwa nafuatilia tu bila kuchangia chochote eti eee
 
Acheni majungu wanaume wazima mmekalia majungu loooh!!; yani humu ndani khaaa umekosa mada za kupost??! Hayo ni maisha ya mtu awe hana kazi awe na kazi hayawahusu fanyeni yenu na mkimjadili mmemkubaliii look

Wanaume wa dar bhanaa
Mmh bora wewe mwanamke wa Shinyanga mwenye kujua majukumu yako
 
Back
Top Bottom