Joshua alilisimamisha Jua

Joshua alilisimamisha Jua

Katika maandiko matakatifu tunasoma kwamba Joshua alilisimamisha jua, sawa, utata unakuja ninaposoma ktk vitabu vya sayansi kuwa dunia hulizunguka jua sasa najiuliza sipati majibu kuwa wakati Joshua analisimamisha jua yeye Joshua alikuwa wapi? Kwenye jua au kwenye dunia? Jua liko pale pale halizunguki kwenda kokote labda Joshua aliisimamisha Dunia wala sio jua.
Mwenye uelewa mpana ktk hili anisaidie.
utasemaje jua halizunguki wakati hakuna binadamu aliyewahi fika jua lilipo wala chombo chochote kilichowahi fika lilipo kuona kama linazunguka au la??
 
Mkuu... Joshua atalisimamishaje jua wakati jua wakati Dunia ndio inalizunguka Jua? Jua liko pale pale kwa mujibu wa sayansi... Badala yake Dunia ndio inalizunguka jua... Labda wewe upindue maandiko uniambie kuwa Joshua aliisimamisha Dunia...

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
mkuu Kuna swali la kizushi umeulizwa hapo juu,binadamu WA kwanza alikuwa nyani?chagua kuamini maandiko au sayansi
 
Binadamu Wa kwanza alikuwa Nyani au ni yule wa biblia?
Ukijiuliza na hilo...utafuta huu Uzi wako

Aliyesema binadamu walikuwa nyani ni mwendawazimu. Aungue na moto huko alipo kwa uongo aliosambaza
 
kwan jua halizunguki jaman mbna tunachanganyana katika space s kla kitu kina zunguka au mm sjui vizur hii elimu ya spce
 
Usiyoyaweza muachie Muweza wa yote.
Wewe amini tu, tena uwe na uhakika.

Usiyoyaweza si yako bali ni ya Mungu.
 
kwan jua halizunguki jaman mbna tunachanganyana katika space s kla kitu kina zunguka au mm sjui vizur hii elimu ya spce

Uko sawa mkuu...kila kitu kiko kwenye mwendo mkali sana angani. Hakuna object iliyosimama...
 
Katika maandiko matakatifu tunasoma kwamba Joshua alilisimamisha jua, sawa, utata unakuja ninaposoma ktk vitabu vya sayansi kuwa dunia hulizunguka jua sasa najiuliza sipati majibu kuwa wakati Joshua analisimamisha jua yeye Joshua alikuwa wapi? Kwenye jua au kwenye dunia? Jua liko pale pale halizunguki kwenda kokote labda Joshua aliisimamisha Dunia wala sio jua.
Mwenye uelewa mpana ktk hili anisaidie.
Mungu ndie anae miliki dunia na jua lipo ktk uweza wake ndio maana Yeye ni zaid ya nguvu za jua.
 
Jua nalo linazunguka mkuu kwa kasi kubwa sana..haliko stationary kama ulivyoandika. Sayari zote zilizoko kwenye nyota ya jua, na jua lenyewe vivinazunguka kuelekea center ya galaxy yetu..,

Jua linazi-drag sayari zake ikiwemo na yetu linapozunguka..in turn galaxy nayo inazunguka...kwa ufupi hakuna kitu ambacho hakiko kwenye mwendo hapo angani...every object is moving.

Kuhusiana na suala la Joshua na jua na mwezi kusimama hiyo iko kiimani zaidi kwa wale waaminio. Joshua aliomba, Mungu akajibu kwa kusimamisha mzunguko wa matufe hayo siku ikachelewa kuisha hata pale vita vilipomalizika.
Paragraph ya kwanza ipo kisayansi zaidi nitaifatilia mkuu...
 
Mkuu Mungu alirefusha siku ili mapambano yaendelee! Yawezekana mchana haukutosha Mungu akaona alifanye jua lisizime/alisimamishe... ili vita iendelee kumbuka Yoshua aliendeleza pale alipoishia musa kuelekea nchi ya kaanani.
Hapa umenishawishi nielekee kuelewa
 
The issue about round (oblate spheroid shape) of the earth is propaganda, assured you that dunia iko flat na hakuna kitu kama tufe sijui mhimili , the issue is elites na wenye nguvu wanapanga namna ya kucontroll dunia

Google au ingia YouTube andika kuhusu flat earth utaona , there is more than 200 reasons to prove that earth is flat , more over tunadanganywa kuwa jua ndio mhimili na sayari hulizunguka jua , hakuna kitu kama hicho , earth is the centre of the universe na vitu vingine vyote huzuka dunia na sio vinginevyo

Soma zaid
Absolutely No
 
Ila lasway Jr ngoja niende huko google maana umeleta kipya hapa.
 
JOSHUA 10:12-14

12 Ndipo Yoshua akanena na katika siku hiyo ambayo Bwana aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni; Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.

13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao.

14 Haikuwapo siku nyingine mfano wa siku hiyo katika siku zilizotangulia mbele yake wala katika hizo zilizoandama baada yake, hata ikawa yeye Bwana kuisikia sauti ya binadamu; kwa kuwa Bwana alipiga vita kwa ajili ya Israeli.

Wakuu nimerejea kusoma vizuri kitabu Joshua 10:12-14 nimegundua kuwa huyu mwandishi wa ktabu hiki upeo wake ulikuwa mdogo ktk kuyaelewa mambo... Na nimerejea pia ktk vtabu vya kisayansi nkajiridhisha kuwa Usiku na mchana vnatokea dunia kwa dunia kujizungusha ktk muhimili wake then nkafanya summary ya kitabu cha Joshua 10 nimegudua kuwa Joshua aliisimamisha Dunia ktk kujizungusha ktk muhimilili wake na mchana ukawa mrefu zaidi...
Kwa hiyo kuanzia leo Muelewe kuwa JOSHUA ALIISIMAMISHA DUNIA WALA SIO JUA KM MLIVYOAMINISHWA HAPO MWANZO.
 
Jua liko katika mwendo tangia liundwe kama zilivyo sayari nyingine nazo zinamwendo alisimamisha jua kama unavyojua ukisimamisha basi hadi viti vilivyomo ndani husimama kwahio SOLAR SYSTEM yote ilisimama kwakua kiongozi wake ni jua hvyo Massa yalisimama hadi mwanaume Yoshua(A.S) alivyomaliza yake
 
Back
Top Bottom